Featured

Loading...


Wizara yakanusha kutoroshwa kwa Twiga

Kauli hiyo imekuja baada ya picha zinazoonyesha Twiga akiwa anashushwa kwenye gari tayari kupandishwa kwenye ndege katika mbuga za wanyama kuenene hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

By Suzan Mwillo, Mwananchi

Dar es Salaam. Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hakuna Twiga aliyetoroshwa kutoka mbuga za wanyama kwenda nje ya nchini na kwamba taarifa na picha zinazosambaa kwenye mitandao hazina ukweli wowote.

Kauli hiyo imekuja baada ya picha zinazoonyesha Twiga akiwa anashushwa kwenye gari tayari kupandishwa kwenye ndege katika mbuga za wanyama kuenene hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

Kati ya picha hizo pia, kuna picha inayoonyesha watu ziadi ya watano wakiwamo raia wa kigeni wakiwa wamezunguka boksi lililokuwa na Twiga ndani yake, picha ambazo zimeibua maswali mengi kwa wananchi.

Akitoa ufafanuzi kuhusu picha hizo, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Adelhelm Meru amesema picha zinazosambaa kwenye mitandao zimetengenezwa.

“Nyingine wamepakua kwenye intaneti kutoka nchi nyingine za Afrika ambazo zinaruhusu kuwinda na kusafirisha wanyama kama Twiga,”amesema Dk Meru.

“Twiga ni nembo ya Taifa na hapa kwetu hairuhusiwi kuwinda wala kusarifisha mnyama huyo, alisema Dk Meru”

Hata hivyo alikiri kuwepo na wageni kutoka nje waliokuja nchini kwa ajili ya shughuli za uwindaji.

Dk Meru alifafanua kuwa Mfalme kutoka Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE), alikuwa nchini kwa siku nne, tangu Septemba 24 hadi 29 kwa ajili ya utalii wa kuwinda.

Amesema mfalme pamoja na watu wengine 137 aliyokuwa ameongozana nao walitumia ndege tatu. Walipofika katika uwanja wa ndege wa KIA, waliacha ndege mbili uwanjani hapo na kusafiri na moja kwenda mbugani.

“Walienda kwenye kitalu walichopewa kibali cha kuwinda huko Luliondo na ndege moja ndiyo maana watu wameunganisha zile picha ili idhaniwe kuwa waliibeba Twiga,”amesema.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top