Mbunifu wa mavazi nchini
Martin Kadinda usiku wa kuamkia leo, Yeye pamoja na wabunifu wenzake akiwemo
Kikki walikuwa na maonyesho yaliyo enda kwa jina la
Fashion For Peace huku yakiwa na lengo kubwa kuwakumbusha
Watanzania kuwa amani ikitawala kwenye uchaguzi basi vizuri ambavyo tunavyo vitazidi kudumu.
Kadinda ameandika haya "
Mimi Kama mtanzania najivunia tulipo
toka Na tunapokwenda Kama taifa...... Nijukumu langu Kama kijana Mwenye
upeo na talanta ya kuongoza kujikita na kulitumikia taifa kwenye mambo
mbalimbali chanya ya kuliendeleza taifa... Thamani ya Kazi na kipaji
changu itajidhihirisha pale nitaposimama katika kutoa ajira zaidi kwa
vijana wenzangu na kufikisha ujumbe wa kutunza amani yetu kipindi hiki
cha uchaguzi. Onyesho langu la Mavazi jana lilibebwa na rangi ya njano
ambayo ni moja rangi za bendela ya Taifa.. Kwanini njano?? Mbunifu
unapofanya lazima kuwa na inspiration ya Kile unafanyacho hivyo National
resources was the inspirational behind it and njano ni rangi
inayowakilisha utajiri wa madini tulionao nchi mwetu...."
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
MITINDO
on Sunday, 18 October 2015
Post a Comment