Mke
wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto)
akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe.
Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe.
Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam.
Capt. William Silaa enzi za uhai wake.
Filikunjombe akiwaaga wananchi wake.
Mbunge
wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe amefariki dunia katia
ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani
Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Wengine
waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala
wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.
Picha hapo chini ni Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Saturday, 17 October 2015
Post a Comment