
'Matusi yenu kwangu ni Elimu yangu ndogo ya darasa la saba!
Ivi ni watanzania wangapi wameishia la saba? Ivi ni watanzania wangapi
hawajafika hata darasa la saba? Ivi ni Watanzania wangapi ni maskini
walioshindwa kuwapa Elimu watoto wao?
Haya kwa nyie wasomi uchwara! Ivi wasomi wa Taifa hili wameisaidiaje nchi yetu?
Ivi ni wasomi wangapi wanadigrii na hawana kazi iwe ya kuajiriwa au kujiajiri?
Ivi kusoma ni kutukana watu na kuwadhalilisha huku unatamba wewe ni
msomi!!! Nini maana ya Elimu? Ivi ukisoma na kuwa rais unakuwa na Haki
kuwatukana wanyonge? Hadi Rais anatukana???? Ngachokaaaaaaaaa
Baba Lowassa anajua fika hata mnaojinadi mmesoma, lakini nyie ndo
mambumbumbu! Yuko tayari kujenga upya Kizazi cha Taifa letu kwa kuwapa
Elimu Bora sana!
Ndo Maana tunaotukanwa hatujasoma tumeamua kufanya Mabadiliko bila woga
ili kila Mtanzania apatiwe Elimu Bora itakayoweza kuleta Maendeleo
katika Taifa letu! Elimu ya Kufanya Maendeleo, tuachane na Elimu ya
kutukana watu bila sababu!
Tumebakiza siku 5 tuu tuingie Kanani kila mtu atasoma bure! Elimu Bora! Amen
Tangazo tangazo! Kwa Mimburula na misukule Hii ni page yangu, naandika
nikitakacho! Makelele yako peleka kwenye acc yako, vinginevyo
ntakunyoosha kama kawa! Mimi ni binadamu wa kawaida kama wengine kipaji
cha uvumilivu sina unikomeeeeeee mxiuuuuuuuuuuu
Sitembelei nyota ya mtu yeyote! Ni mimi na Mungu wangu tuu!' Joyce Kiria
chanzo; http://www.udakuspecially.com/2015/10/joyce-kiria-kashindwa-kuvumiliaawapa.html

Post a Comment