Hivi karibuni
Zuwena Mohamed ‘
Shilole’ alichora tattoo yenye jina la boyfriend wake
Naftari Mlawa ‘
Nuh Mziwanda’ kwenye kifua chake, ikiwa ni ishara ya kuwa mapenzi yao yanazidi kushamiri. Kama vile haitoshi
Shishi bado ana mpango wa kuongeza mchoro mwingine kwenye sehemu za siri.
Akizungumza na
Global Publishers, Staa huyo wa mduara,
Shishi amesema ana mpango wa kuchora tena jina la mpenzi wake,
Nuh kwenye moja ya kalio lake ikiwa ni njia mojawapo ya kuonyesha mapenzi yake ya dhati kwake.
“
Mimi bado tattoo moja ya muhimu sana ambayo nataka kuchora kwenye kalio ili kuonyesha ni jinsi gani nampenda mpenzi wangu Nuh,” alisema
Shilole.
Nuh Mziwanda ndiye aliyekuwa wa kwanza kuchora tattoo zenye majina ya
Shilole kwenye mwili wake, kitendo kilichomshawishi mpenzi wake
Shishi naye kuchora.
-
GPL
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Saturday, 17 October 2015
Post a Comment