Featured

Loading...


Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kutoka UKAWA Kuhusu Uchaguzi Unaoendelea- 25/10/2015


1. Hali ya vitisho vya jeshi la polisi na kamata kamata iliyoanza jana usiku hadi leo asubuhi. Wawaache wananchi watumie haki yao ya kikatiba kumchagua kiongozi wanayemtaka.

2. Suala la watu wenye kadi lakini majina yao hayapo,  ambapo kisheria inatakiwa msimamizi awape fomu namba 19 kisha waijaze na kupiga kura. Tumewataka wananchi kutokuondoka vituoni hadi wapate haki hiyo ya kujaza fomu hizo na kupiga kura.

Vifaa vya kupigia kura kuchelewa kufika vituoni ambapo baadhi ya vituo kama  Kimara Temboni Dar es salaam,  msimamizi amefungua kituo saa mbili kisha akasema karatasi za mgombea urais zimekwisha. Tumewataka wananchi katika maeneo kama hayo kutokuondoka vituoni,  wakae kwa utulivu wahakikishe wanapiga kura.

Tumewataka NEC ambao wanapigiwa simu lakini hawapokei kutoa msaada wa haraka,  wahakikishe suala hilo linatatuliwa haraka.  Uchaguzi huu haukuwa ajali au suala la kushtukiza.

3. Idadi ya wapiga kura kwenye kituo kimoja kuwa kubwa tofauti na matakwa ya kisheria,  kuna vituo tumebaini vinawapiga kura zaidi ya 800. Hairuhusiwi.  Wapiga kura hawapaswi kuzidi 450 kwa kila kituo.

4. Madai ya kuwepo kwa kura feki kukamatwa katika maeneo mbalimbali zikiwa tayari zimepigwa,  mfano tunazo taarifa za kukamatwa huko, Vunjo,  Njombe na maeneo mengine ya nchi.

Hili tulitarajia tume ilizungumzie kwa udharura lakini mpaka sasa tunawatafuta watu wa tume hawapatikani.

Tunawahimiza watu wawe watulivu wasiondoke vituoni mpaka wapige kura ambayo ni haki yao kikatiba. 

Tumaini Makene
Mkuu wa idara ya mawasiliano
CHADEMA
~Mpekuzi blog

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top