Featured

Loading...


Watu 2 ndani kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 2

Polisi mjini Delhi, India wamewakamata vijana wawili, wanaotuhumiwa kwa ubakaji wa mtoto wa miaka mwili.
Kisa hicho cha ubakaji ni mojawapo wa visa vinavyoendelea mjini humo na kueneza mshtuko mkubwa duniani. Vijana hao walio na umri wa miaka 17 walitiwa nguvuni baada ya polisi kuwahoji wenyeji wa kijiji kulikotokea tukio hilo la ubakaji.

Mkuu wa mawaziri mjini Delhi Arvind Kejriwal ameshtumu serikali kuu ya India kwa kushindwa kuweka sera za kukabiliana na dhulma dhidi ya watoto. Kumetibuka hasira miongoni mwa wenyeji na haswa wanawake baada ya tukio lingine ambapo kitoto cha miaka miwili kilibakwa na kutupwa kwenye bustani huku akivuja damu.

Wakati huohuo,wanaume wengine 5 wametiwa mbaroni kwa tuhuma za ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka 5 pekee. Tukio hilo la pili katika mji mkuu wa India New Delhi lilitokea katika maeneo ya mashariki mwa Delhi.

Watoto hao walidanganywa na pipi wakaingia katika nyumba ya jirani yao kabla ya kubakwa.
Kwa sasa watoto hao wanapokea matibabu maalum na wanaendelea kupata nafuu kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika.

Matukio hayo yameibua hasira miongoni mwa wenyeji na hofu miongoni mwa wanawake ambao wana watoto wa kike. Mji mkuu wa Delhi umeshuhudia matukio 2000 ya ubakaji katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
-BBC

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top