MREMBO ambaye hakauki kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, Huddah
Monroe, kupitia akaunti yake ya Instagram, amemuweka wazi mpenzi wake
mpya.
Huyo atakuwa mpenzi wake wa pili kumtambulisha mwaka huu, hivyo aonekana
kuwa hawezi kudumu na mwanaume kwa muda mrefu tangu alipoachana na
mkali wa kupiga pamba nchini humo CMB Prezzo.
Huddah aliandika: “
Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaweza
kumbadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya, hivyo nimerudi tena kwenye
uhusiano na mwanaume mwingine ambaye naamini tutaendana sawa.”
Ujumbe huo ulionekana kupokelewa tofauti na baadhi ya mashabiki ambapo wengi walimtaka mrembo huyo kutulizana na mpenzi mmoja.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Tuesday, 24 November 2015
Post a Comment