Featured

Loading...


Inawezekana unaijua hii picha iliyovuma sana mtandaoni lakini hujui ilitoka wapi!

Picha hii ya mvulana anayeonekana kujiuliza maswali si haba akilini mwake akiwa na Mzungu imesambazwa mara nyingi sana mtandaoni.

Wengi wamekuwa wakiitumia kukejeli vyombo vya habari, mataifa na mashirika ya kutoa misaada kutoka Magharibi kwa mtazamo wao kuhusu Afrika. Kunao wanaoitumia hata hivyo kuuliza maswali ya kijumla tu. Lakini je, wajua picha hii ilitoka wapi? Mvulana huyu ni nani?

Picha hii ilianza kuenea sana mtandaoni baada ya kupakiwa kwenye tovuti ya Reddit miaka mitatu iliyopita na mwanamume kutok Texas, Marekani aliyevutiwa nayo baada ya kuiona kwenye ukurasa wa Facebook wa rafiki yake. Mwanamke aliye kwenye picha hiyo ni Heena Pranav, daktari mwenye umri wa miaka 28 anayeishi Chicago.

Mwaka 2012, alipokuwa mwanafunzi, alizuru mji wa Gulu, kaskazini mwa Uganda kusaidia kwenye mradi wa kuwasaidia wanawake walioathiriwa na vita vya wapiganaji wa Lords Resistance Army. Mradi huo ulisimamiwa na shirika laPros for Africa, linaloongozwa na mtawa Mkatoliki, Rosemary Nyirumbe.

Picha hiyo haikuhusiana na mradi huo na Pranav, akizungumza na BBC Trending radio, amesema alikutana na mvulana huyo sokoni na anakadiria alikuwa na umri wa miaka miwili au mitatu.
"Nilikuwa na wanafunzi wengine wakati huo, na tulikuwa tunapiga gumzo na nikaona mvulana mdogo, aliyenivutia sana,” Pranav alisema.

“Mamake alikuwa karibu akifanya kazi sokoni. Nilimwendea mvulana huyo kumsalimia na kucheza naye … alikuwa mchangamfu sana."

Mvulana huyo hakuzungumza Kiingereza, na Pranav naye haelewi lugha za wenyeji. Lakini mkutano wao mfupi ulinakiliwa kwenye picha iliyopigwa na mmoja wa wanafunzi kwenye kundi la Pranav. Binti huyo anasema hakuwa amewahi kusikitia Reddit hadi pale rafiki yake alipoipakia picha hiyo huko na ikasambaa sana.

"Sikudhani hili lingelitokea,” anasema. “Kungelikuwa na uwezekano ningetaka sana mtoto huyu na mamake wajue kuhusu haya na wanufaike kiasi kutokana nayo, kwa sababu nadhani alitumiwa bila kupata manufaa yoyote.”

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top