Hakika huu hauwezi kuwa msimu mbaya tu kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho bali ni mwaka mbaya kwake, Jose Mourinho
ambaye kikosi chake huwa akifanyi vizuri kwa mechi za hivi karibuni
amekuwa akiingia katika headlines kutokana na kutofautiana na watu
wanaomzunguuka kama waamuzi na daktari wa timu Eva Carneiro.
Usiku wa November 2 mtandao maarufu wa habari Uingereza express.co.uk uliandika maamuzi ya shirikisho la soka Uingereza FA baada ya kupatikana na hatia ya kosa la utovu wa nidhamu kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho, kocha huyo amefungiwa mechi moja na FA na kutozwa faini ya pound 40,000 kwa kosa la utovu wa nidhamu alilolionesha katika mechi aliyopoteza dhidi ya West Ham United.
Kocha huyo wa Chelsea amekubali adhabu hiyo kutoka FA na atakosa mchezo dhidi ya Stoke City ugenini kutokana na kosa la kuwatolea maneno mabovu waamuzi wa mchezo dhidi ya West Ham United October 24 2015 tukio ambalo lilimfanya aondolewe na muamuzi katika benchi. Hata hivyo Chelsea wamepoteza jumla ya mechi sita katika mechi zao 11 walizocheza katika Ligi Kuu msimu huu. Mourinho alitenda kosa hilo wakati wa mapumziko ya mchezo huo.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
MICHEZO
on Tuesday, 3 November 2015
Post a Comment