Featured

Loading...


Rick Ross avunja uchumba na Lira Galore, alimvisha pete yenye thamani ya $350,000

Rick Ross avunja uchumba na Lira Galore baada ya ugomvi mkubwa kutokeaMapenzi kati ya rapper Rick Ross na mchumba wake Lira Galore yamefikia ukingoni baada ya kutokea ugomvi mkubwa kati yao, ikiwa ni takribani miezi miwili toka watangaze kuwa wachumba, TMZ imeripoti.

Bado haijafahamika sababu kubwa ya ugomvi huo uliosababisha Rozay na mchumba wake kuvunja uchumba, lakini inasemekana kuwa Galore ameondoa vitu vyake kutoka kwenye nyumba ya rapper huyo.

Rozay alimvisha pete ya uchumba Galore yenye thamani ya $350,000 mwezi September baada ya kudate naye kwa miezi michache.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 JICHO LETU | Designed By Code Nirvana
Back To Top