Jina la Nasib Abdul bado halijatoka kichwani mwa Wema Sepetu! Nasib Abdul ni jina halisi la Diamond Platnumz.
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na muigizaji wa filamu alikuwa akijibu
swali kwenye kipindi cha Hitzone kupitia kituo cha redio cha Jembe FM
cha jijini Mwanza alipoulizwa ni mwanaume gani ambaye alitamani awe mume
wake wa ndoa.
“Ni yupi ambaye niliwahi kusema huyu anaweza kuwa wa maisha,” alisema
Wema. “Kiukweli alikuwa anaitwa Nasib Abdul,nilishawahi kusema hivyo,”
alisisitiza.
Hata hivyo ndoto hiyo iliyeyuka baada ya wawili hao kuachana mwaka jana
na Diamond kuhamisha mahaba yake kwa Zari the Bosslady ambaye tayari
wana mtoto wa kike, Tiffah.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Wednesday, 4 November 2015
Post a Comment