Featured

Loading...


Rose Ndauka akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Shetta

post-feature-image
Baada ya kuenea tetesi kuwa mke wa Shetta ‘Neila Yusuf’ anadai talaka kwa mume wake kutokana na Rose Ndauka kuingilia ndoa yao, Ndauka amevunja ukimya.

Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Ndauka alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano na rapper huyo.

Kuna siku nilikuwa kwa Diamond, Mama Kayla alikuwepo, kwahiyo akawa amenifuata kunisalimia, Dareen akawa ananiambia umemuona ‘mama Kayla?’ Nikamwambia yupo wapi? akaniambia ndio huyu hapa! Nikawa nacheka nikamwambia ‘mambo’, nikamwambia nasikia umeondoka kwako kwaajili yangu? Akaanza kucheka, akaniambia ‘sio kweli mbona hakuna kitu kama hicho.’ Kwahiyo nikacheka kwa sababu mtu mwingine anaweza kucreate tu kitu kwa sababu tu hawajamuona Rose kwenye magazeti. So wanataka kumweka kwenye zile skendo ili awe mmoja kati ya wasanii wenye skendo,” alisema Ndauka.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top