Featured

Loading...


Jeshi Lawasaka Watu Walioeneza Uzushi Mtandaoni Kuhusu Vyeti Feki Vya Polisi


Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo  katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi. 
Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari  ‘chujio Jesho la polisi, vyeti feki vyawaonndoa askari kazini’  Taarifa hiyo ni uzushi na haijatolewa na Jeshi la Polisi.
Kufutia hali hiyo, Jeshi la Polisi nchini linapenda kukanusha taarifa hiyo  ya uzushi ambayo haina ukweli wowote  na inalengo la kuchafua taswira ya Jeshi la Polisi kwa jamii.  
Jeshi la Polisi nchini limeanza upelelezi wa kuwatafuta watu wote waliohusika kueneza taarifa hiyo na kujifanya wao ni Jeshi la Polisi. 

Aidha, Tunatoa onyo kali kwa watu  wote kuacha kutumia mitandao ya kijamii vibaya  kwa kufanya uposhaji na badala yake watumie mitandao hiyo kwa ajili ya ustawi wa jamii.
Imetolewa na:
Advera John  Bulimba – SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.
Makao Makuu ya Polisi.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top