Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia
salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa
Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko
nchini India.
Katika
salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu
Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kuondokewa na mtu
muhimu kwa familia.
"Kwa
masikitiko makubwa nakupa pole nyingi Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt.
Jakaya Kikwete kwa kufiwa na dada yako ambaye alikua nguzo muhimu katika
familia" Amesema Rais Magufuli.
Aidha
Rais Magufuli amemuomba Rais Mstaafu Kikwete kumfikishia salamu nyingi
za pole kwa familia nzima na amewaomba wawe na moyo wa subira na
uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Rais
Magufuli amemuomba Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema aipumzishe roho ya
marehemu Tausi Khalfan Kikwete mahali pema peponi, Amina.
Imetolewa na;
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
18 Desemba, 2015
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
TANZIA
on Saturday, 19 December 2015
Post a Comment