Featured

Loading...


Kilivyo happen katika utambulisho rasmi wa Rock City Shopping Mall Mwanza (+Pichaz)

 
Watu wangu wa nguvu kutokea rock city Mwanza walipata bahati ya kutembelea Mlimani City yao kwa mara ya kwanza inaitwa “Rock City Shopping Mall” kwenye utambulisho rasmi baada ya kukamilika kwa ujenzi uliochukua zaidi ya miaka miwili, watu walifanya shopping za nguvu na kufurahi na burudani kutoka kwenye vipaji vyao mpaka kwa mkali wa sauti Barnaba Classic. Ripota wa millardayo.com hakuwa mbali na tukio lenyewe, hizi ndio pichaz 16 za kilichojiri katika utambulisho rasmi.
Image00001
Image00002
Image00003
Image00004
Image00005
Image00006
Image00008
Image00014
Watu wangu wa nguvu wa Mwanza wakionesha vipaji vyao
Image00015
Image00016
Barnaba Classic alikuwepo kutoa burudani
Image00017
Image00018
Image00019
Image00020
Image00021
Image00022

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top