Kuna wakati unajikuta unaelekea njia ambayo hujaipanga kwenye maisha yako, lakini huenda MUNGU alikupangia huko… jina la Dk. John Pombe Magufulihuenda
halikupewa nafasi kubwa sana na watu wengi hasa ukiiangalia list ya
makada 38 wa CCM walioingia kwenye mchakato wa kugombea Urais 2015,
mwisho wa siku akapita yeye na akapata Urais !!
Lakini unadhani Rais Dk. John Magufulialijipanga akiamini atapita kwenye nafasi hiyo ??!! Nimeipata hii video inayoonesha Rais Magufuliakiwa
kwenye stori tu na watu wengine enzi hizo alikuwa Waziri wa Ujenzi,
stori zao walikuwa wanagusia ishu ya madini ya Tanzania… mmoja
akamchomekea kwamba achukue fomu ya Urais ili abane uchakachuaji wa
madini… unajua alijibu nini ?! Cheki hii video ya dakika 2:45.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
BURUDANI on Saturday, 19 December 2015
Post a Comment