RAIS
John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea
Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 mwaka huu katika Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Pentekoste (TFC), Godfrey Malassy alisema hayo jana jijini Dar es Salaam.
Alisema maandalizi yote yamekamilika ikiwemo kibali kutoka Polisi, pamoja na washiriki mbalimbali wa mkesha huo.
Askofu
Malassy alisema mkesha huo utakuwa ni kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa
kuijalia nchi kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Pia
wanamwombea Rais Magufuli afya njema na utendaji mzuri anaoendelea
kuufanya kwa maendeleo ya taifa.
Aidha
Mwenyekiti huyo amewataka wananchi wote kutumia siku hiyo kumuomba na
kumshukuru Mungu kwa amani iliyopo nchini kwa vile ndio msingi mkubwa wa
shughuli za kila siku zinazosaidia kupata kipato na maendeleo ya nchi.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 22 December 2015
Post a Comment