Rais wa Colombia Juan Manuel Santos ametia saini sheria ya kuhalalisha
matumizi,ukuzaji na uuzaji wa bangi kama dawa. Santos amesema
kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi nchini humo hakutahujumu vita dhidi
ya biashara haramu ya dawa za kulevya bali itatoa fursa kwa utafiti wa
kisayansi kuimarishwa kuhusu dawa hizo nchini Colombia.
Rais huyo ameongeza lengo lao ni kuhakikisha wagonjwa wanaweza kupata
dawa zinazotengezwa nchini humo ambazo ni salama, za viwango vya juu na
zinazopatikana kwa urahisi. Wizara ya afya pia itatoa kibali cha kuuzwa
nje kwa bangi kwa nchi ambazo hazijaharamisha matumzi yake.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Wednesday, 23 December 2015
Post a Comment