Katika
gazeti la Tanzania Daima ukurasa wa 5, toleo namba 4070 la tarehe 25
Januari, 2016, lilichapisha habari yenye kichwa cha habari Polisi “waisoma” namba. Sehemu ya taarifa hiyo inaeleza kuwa askari Polisi hivi sasa wanatakiwa kujilipia gharama za umeme.
Jeshi
la Polisi nchini, linakanusha vikali taarifa hiyo kwamba siyo sahihi.
Ukweli ni kwamba askari polisi wote makambini wanalipiwa umeme na
serikali, ikiwemo wale ambao nyumba zao zimefungiwa luku kama njia ya
kuboresha huduma na matumizi sahihi ya umeme.
Baada
ya askari kununua umeme hutakiwa kuwasilisha stakabadhi ya malipo ya
umeme kwa ajili ya kurudishiwa kiasi cha fedha walichonunulia umeme kila
mwisho wa mwezi.
Aidha,
habari iliyochapishwa na Tanzania Daima ililenga kupotosha umma na
mwandishi wa habari hiyo hakutafuta ufafanuzi kutoka kwenye mamlaka
husika.
Kufuatia
hali hiyo, Jeshi la Polisi nchini, linamtaka mhariri wa gazeti la
Tanzania Daima na waandishi wake wa habari kuwa makini na habari
wanazoziandika hasusani taarifa zinazohusu vyombo vya ulinzi na usalama
ili kuepuka madhara ya kiusalama yanayoweza kutokea kutokana na habari
wanazozitoa zisizo na usahihi.
Imetolewa na:-
Advera Bulimba -SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi,
Makao Makuu.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 26 January 2016
Post a Comment