Zikiwa zimepita siku chache tangu waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa kufanya
ziara ya kushtukiza bandari ya Dar es Salaam na kubaini uozo wa
kuchepushwa kwa bomba la mafuta mamlaka hiyo imekuja na mpango madhubuti
wa kuimarisha usalama katika bandari hiyo kwa kufunga mfumo mpya wa
kamera 486 zenye uwezo wa kuonyesha matukio yote yanayotokea nje na ndni
ya bandari hiyo na hasa katika eneo la kupakulia mafuta.
ITV ilifika bandarini hapo na kushuhudia namna kamera hizo zinavyofanya
kazi huku afisa mlinzi mwandamizi Bw Kiswiza Lukasi akielezea namna
mashine hizo zinavyofanya kazi.
Naye Bi Janeth Ruzangi meneja mawasilino wa TPA amesema mashine hizo
zinaonganisha na banadari zote lengo ni kuakikisha kuwa usalama
unaimarika katika bandari za hapa nchini.
Baadhi ya watumiaji wa bandari hiyo wamesema kwa muda mrefu wamekuwa
wakilalamikia utendaji na usalama wa bandari hiyo lakini kwa sasa
wanapata imani kuwa mali zao zitakuwa salama.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Wednesday, 24 February 2016
Post a Comment