Kikosi cha usalama barabarani Kanda maalumu ya Dar es salaam kimetangaza
kukusanya kiasi cha shilingi BILIONI MOJA NUKTA TISA 1.9 kutokana na
faini za ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kwa kipindi cha
kuanzia siku ya kwanza ya February 2016 mpaka tarehe 22 February 2016.
Taarifa yao imekuja siku moja baada ya Wizara ya fedha kutangaza jana
kukusanya mapato ya serikali na kufikia zaidi ya TRILIONI MOJA kwa mwezi
February 2016 pekee ambao bado haujamalizika kikiwa ni kiwango tofauti
na mwaka uliopita ambapo walikua wakikusanya kwenye Milioni 800 n.k.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 23 February 2016
Post a Comment