Featured

Loading...


Gavana apitisha sheria kuwaruhusu wafanya biashara kutowauzia bidhaa zao wapenzi wa jinsi moja

post-feature-image

Nchini Marekani, gavana wa jimbo la Mississippi amepitisha sheria kuwaruhusu wafanya biashara kutowauzia bidhaa zao wapenzi wa jinsi moja endapo imani zao hazikubaliani na suala hilo.

Gavana huyo kutoka katika chama cha Republican Phil Bryant ametia saini sheria hiyo pamoja na kukabiliana na upinzani mkali kutoka katika jamii hiyo ya wapenzi wa jinsi moja pamoja na mashirika mbalimbali ambao wanaona kwamba sheria hiyo ni ya kibaguzi.

Bwana Brayant ameutetea muswada huo kwamba unakuja ili kulinda na kutetea haki ya uhuru wa kuabudu na imani ya mtu.

Muungano wa vyama mbali mbali nchini humo, umetoa mtazamo wake kwamba sheria hiyo itakuwa juu ya misingi ya haki na usawa ambapo maelfu ya raia watakosa huduma katika biashara mbalimbali,kukosa vibali vya ndoa za jinsi moja, na huduma muhimu.

Jimbo la Carolina lililoko Kaskazini mwa Marekani imepitisha sheria kama hiyo,wakati magavana katika majimbo ya Georgia na South Dakota wamepiga kura kupendekeza sheria za namna hiyo zifanye kazi katika majimbo yao.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top