Featured

Loading...


Jokate aamua kutumia wimbo wa Ndi ndi ndi kumjibu Alikiba kuhusu Wife material!

post-feature-image

Jana kwenye eNewz ya EATV, Alikiba alizungumzia kuhusiana na wife material wake 'Alikiba hoi kwa Jokate, Ashindwa kuelezea kama ni wife material au la!' ambapo alisema kuwa "...watu sikuhizi wanasahau kuwa Wazee wetu walikuwa wanachagua vipi msichana, Siotu mnaoana tu basi mependana tu mnakaa ndani... lazima muwe marafiki..."

Mapema leo Jokate ambaye alikuwa mpenzi wa Alikiba ame post picha nakuandika "Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote, kama ni jipu lilivimba zaidi. Nikasahau chizi huwa haponi kama chozi mvuani. Hatimae kumekucha na milembe nimekushusha. Na geti likifungwa naondoka 👉🏾 NDI NDI NDI. ZE NDI NDI NDI 🚗🚗🚗🚗🚗🚗🚗🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽" kitu ambacho wengi wamedhani huenda ikawa ameamua kumjibu Alikiba.

Ukweli huo haujathibitika kuwa amemjibu au la!
yapi maoni yako?

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top