Featured

Loading...


Kumekucha Tena Tuzo Kubwa za Nyuka Zipo Tayari Sasa!

TUZO kubwa zijulikanazo kwa jina la NYUKA FILM AWARDS zipo tayari kwa ajili ya kutolewa kwa wanatasnia ya filamu Swahilihood hivi karibuni mwezi huu wa saba mwisho, ni tuzo zilizolenga kutambua mchango wa filamu zinazotumia Lugha ya Kiswahili katika kukitangaza na kuunganisha mataifa.Kumekucha Tena Tuzo Kubwa za Nyuka Zipo Tayari Sasa!
Filamu iliyorekodiwa na kutumia Lugha ya Kiswahili inahusika kushirika na kuchukua tuzo zilizoandaliwa zaidi ya miaka mitatu kuanzia kufanya utafiti katika kujenga tuzo zenye hadhi na heshima Barani Afrika, sehemu kubwa ambayo inaifanya Lugha hii kuwa ni kiungo muhimu katika mawasiliano anasema mratibu wa tuzo hizo.
“NYUKA FILM AWARD. ni tuzo za kimataifa zinategemewa kufanyika jijini Dar es salaam Tanzania mwishoni mwa mwezi wa Saba mwaka 2015.
Tumeanza kupokea kazi kuanzia tarehe 4/04/2015 na Mwisho ulikuwa 30/06/2015 kwa sasa unaweza kutembelea kwenye tovuti ya www.nyuka.com nakupata taratibu nyengine,” anasema Mfate mratibu wa tuzo hizo.
NYUKA FILM AWARDS CATEGORIES:-
1. BEST ACTRESS IN SUPPORTING ROLE
2. BEST ACTOR IN SUPPORTING ROLE
3. BEST ACTRESS IN LEADING ROLE
4. BEST ACTOR IN LEADING ROLE
5.BEST MALE COMEDIAN.
6. BEST UPCOMING ACTOR
7. BEST UPCOMIN ACTRESS
8. BEST FILM DIRECTOR
9.BEST FILM EDITOR
10.BEST CINEMATOGRAPHER
11. BEST MAKEUP ARTIST
12.BEST VISUAL EFFECTS
13.BEST ADAPTED SCREENPLAY
14.BEST ORIGINAL SCREENPLAY
15. BEST FILM OF THE YEAR
16. MOST POPULAR ACTOR
17. MOST POPULAR ACTRESS
18. LIFE TIME ACHIEVEMENTS AWARDS
19. BEST FEMALE COMEDIAN
2O. BEST ORIGINAL SONG

Tuzo hizi zinashirikisha filamu zote zilizotengenezwa kwa kutumia lugha ya kiswahili bila kujali zimetengenezwa nchi gani.Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Fadhili Mfate Mratibu wa tuzo hizi.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top