Featured

Loading...


DK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU

Brighton Masalu
Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.
Msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’.
Madai ya uhusiano wa Lulu na Dk. Cheni yamekuwa yakienea chinichini kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kuamini kuwa, huenda lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Lakini Cheni ana mke
Hata hivyo, madai hayo yanakuja ikiwa inafahamika kabisa kuwa, Dk. Cheni ana mkewe aitwaye Sabrina Zahrain ambaye wanaonekana kupenda licha ya kwamba imani yake haimzuii kuona mke wa pili.
Madai ya ndoa
Wakati tetesi za mastaa hao kuwa wapenzi zikizidi kushika kasi, hivi karibuni mtu wa karibu wa ‘wauza sura’ hao alilipenyezea gazeti hili umbeya kuwa, eti uhusiano wao umeshamiri na wana mpango wa kuona.

 Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake kilinyetisha kuwa, hata mashabiki wa wasanii hao wakisikia kuwa siku f’lani ndoa inafungwa wasishangae kwani ni jambo ambalo Cheni ameona siyo baya kwake.“Ukaribu wa Lulu ni zaidi ya nyie mnavyojua, Cheni anaingia pale kwa Lulu masaa 24 na ninachojua Dk. Cheni anataka kumuoa Lulu mke wa pili, sasa kama mnataka kujua undani wa hili fuatilieni,” kilidai chanzo hicho.
Dk. Cheni atafutwa
Kufuatia madai hayo Ijumaa lilifanya jitihada za kuongea na Dk. Cheni ambapo alipopatikana alifunguka kama ifuatavyo:“Hivi jamani mimi nikimuoa Lulu kuna shida gani? Yeye si mwanamke na mimi ni mwanaume, sasa tatizo liko wapi, hebu acha mambo yako bwana.
“Halafu ujue mimi ni Muislam naruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja. Hilo la kwenda nyumbani kwake ni kwamba pale naingia masaa 24, kwani nani wa kunizuia?”
Lulu anasemaje?
Ijumaa baada ya kuongea na Dk. Cheni lilimtafuta pia Lulu kupitia simu yake lakini hakupokea kila alipopigiwa na hata alipotumiwa sms hakujibu. Paparazi wetu pia akafika nyumbani kwake maeno ya Mbezi jijini Dar lakini akaambiwa na mfanyakazi wake wa ndani kuwa ameenda kwenye mishemishe zake.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top