MAYASA MARIWATANA SHANI RAMADHANI
MSANII wa filamu aliyefahamika kwa jina la Glasnost Kalinga hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kulewa na kushindwa kutembea.

Akizungumnza na Ijumaa katika eneo la tukio, mmoja wa marafiki wa msanii huyo aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alidai kuwa, hakuna chochote kibaya kilichompata ila alizidiwa na pombe.
“Hana tatizo, ni pombe tu ndiyo maana yuko katika hali hii. Tulitoka vizuri viwanja tukiwa ndani ya Bajaj lakini tulipofika hapa na kushuka tukashangaa mwenzetu kasinzia, tulipomuamsha akaonekana hajitambui, aliposhuka ndiyo kashindwa kutembea,” alisema shosti huyo.
Baada
ya paparazi wetu kunasa tukio hilo usiku, kesho yake asubuni alimpigia
simu Glasnost na kumuuliza ilikuwaje ambapo alisema kwa kifupi kuwa
hajui kilichotokea kwani ndiyo alitoka kuamka.
“Ndiyo nimeamka hapa, ila kwa kweli sijui hata kilichotokea jana ,” alisema msanii huyo ambaye ameonekana kwenye filamu mbalimbali kama vile Bikira, Mwadawa na nyinginezo.
MSANII wa filamu aliyefahamika kwa jina la Glasnost Kalinga hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kulewa na kushindwa kutembea.
Msanii huyo akisaidiwa na rafiki zake kuinuka.
Msanii huyo alinaswa na kamera yetu maeneo ya Afrikasana, Sinza saa 6
usiku ambapo alionekana akiwa amelala chini huku marafiki zake
wakijaribu kumkokota bila mafanikio.Akizungumnza na Ijumaa katika eneo la tukio, mmoja wa marafiki wa msanii huyo aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alidai kuwa, hakuna chochote kibaya kilichompata ila alizidiwa na pombe.

Post a Comment