Featured

Loading...


ZENGWE MILIONI 6 ZA KAJALA KWA TIFFAH!

Musa mateja
Imevuja! Yale mamilioni ya staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ aliyommwagia mwandani wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kama zawadi ya mwanaye, Latiffah Nasibu ‘Princes Tiffah’ yamepigwa zengwe.

 Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ akiwa na shosti yake.
Awali, habari zilizolifikia gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko la Jumatano iliyopita zilieleza kwamba, Kajala alitumia takriban dakika ishirini kummwagia Zari ‘minoti’ ya elfu kumikumi kwenye pati ya arobaini ya Tiffah iliyofanyika nyumbani kwa Diamond, Madale-Tegeta jijini Dar, Jumapili iliyopita.
Katika maelezo yake kwenye habari hiyo, Kajala alisema kuwa alimtunza Zari kama waalikwa wengine walivyofanya bila kujali watu watasema nini.Kwa mujibu wa Kajala, manoti hayo yalikuwa takriban shilingi milioni sita za madafu, jambo lililoibua maswali ikidaiwa kwamba, si kweli hakikuwa kiasi hicho na badala yake, mwigizaji huyo alitaka kujipaisha.
“Hata ukiangalia video za tukio hilo, utaona Zari alikuwa akicheza kitu kama Kibao-Kata wakati Kajala akichomoa ‘misimbazi’ kwenye waleti na kumtupia mama Tiffah.“Ukweli ni kwamba hata waleti yenyewe ilikuwa nyembamba kiasi kwamba ingekuwa na kiasi hicho ingeonekana imevimba.
“Kilichotokea ni kwamba ile video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ilikuwa inajirudiarudia na kuwafanya watu kuona kama Kajala alitoa noti nyingi kiasi hicho.
“Ukweli ni kwamba hata shilingi milioni mbili hazikufika. Si unajua tena Wabongo kwa kujipaisha? Habari ndiyo hiyo,” kilidai chanzo chetu na kuongeza:
Wakati mamilioni ya Kajala yakipigwa zengwe, kwa upande wake, mwigizaji mwingine wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ambaye naye alidaiwa kumfanyia kufuru ya kummwagia Zari noti, naye ameibuka na kudai kwamba, yeye alitunza kiasi cha shilingi milioni tano ambazo nazo ziliibua maswali.“Mimi nilimtumza Tiffah kama shilingi milioni tano hivi, kama kuna mtu mwenye swali atajijua mwenyewe kimpango wake,” alifunguka Aunt kwa kifupi.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top