
Na sasa muimbaji huyo aliyewasili Alhamis hii kutoka Dallas, Texas alikoshinda tuzo tatu za Afrimma, ana mtihani mkubwa zaidi mbele yake.
Atashindana kipengele kimoja cha ‘Best Worldwide Act: Africa/India’ na mshindi wa Best Indian Act ambaye mwaka huu ni muigizaji na mwanamuziki maarufu wa India, Priyanka Chopra aliyewahi pia kuwa Miss World mwaka 2000.

Diamond atahitaji kura nyingi kutoka Afrika ili kuweza kushinda kipengele hicho na hivyo tunatakiwa kuanza kupiga kura kwa nguvu zote
Post a Comment