Featured

Loading...


Mzee aliyeamka akiwa mochari India sasa afariki

Mwanamume aliyeshangaza wahudumu wa mochari nchini India kwa kuamka muda mfupi kabla ya kufanyiwa upasuaji amefariki. Mwanamume huyo kwa jina Prashant, alifariki siku mbili baadaye akitibiwa katika hospitali inayomiliki chumba hicho cha kuhifadhia maiti.

Prashant, 50, ambaye hakuwa na makao, aligonga vichwa vya habari alipoamka baada yake kutangazwa kuwa alikuwa amefariki na daktari mkuu wa hospitali moja mjini Mumbai. Alipelekwa mara moja hadi kwenye ufuo, licha ya kanuni za hospitali kusema mtu aliyefariki anafaa kukaa kwenye wadi saa mbili kuthibitisha ni kweli amefariki.

Haijabainika ni nini kilichomuua. Mwili wake ulifanyiwa upasuaji baadaye Jumatano. Dkt Suleman Merchant, mkuu wa hospitali ya manispaa ya Lokmanya Tilak amesema Prashant, alifariki Jumanne usiku.

"Alikuwa akitibiwa kwa kuwa na mabuu kwenye sikio lake la kulia na alikuwa amepoteza fahamu. Aidha, aliongezewa damu kwa sababu alikuwa akiugua anaemia,” aliongeza. Awali, madaktari walisema alipofikishwa hospitalini mara ya kwanza Jumapili, mwili wake ulikuwa na matatizo ya kuendesha shughuli muhimu na pia alikuwa akiropokwa.

Alipelekwa hospitalini baada ya kupatikana akiwa amepoteza fahamu katika kituo kimoja cha mabasi. Dkt Merchant amesema uchunguzi unafanywa kubaini kulifanyika nini hadi Prashant akapelekwa ufuoni moja kwa moja baada ya daktari kusema alikuwa amefariki mara ya kwanza.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top