MAHAKAMA
ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya
jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu
Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Hukumu
hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary
Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya.
Taarifa
hiyo imeonekana kuwaudhi watu waliokuwa wamekusanyika katika eneo la
mahakama hiyo waliokuwa na shauku kubwa ya kujua hatima ya kiongozi
huyo.
Hati
ya mashitaka ya kesi ya Ponda ilikuwa na jumla ya mashitaka matatu
lakini Julai 22 mwaka huu, Hakimu Mkazi Mary Moyo alitoa uamuzi wa
kumfutia shitaka la kwanza kwasababu lilishatolewa uamuzi na Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam, na hivyo mahakama hiyo ya Morogoro siku hiyo
ilitoa uamuzi wa kumuona ana kesi ya kujibu katika mashitaka mawili
yaliyosalia .
~Chanzo; Mpekuzi blog
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Monday, 19 October 2015
Post a Comment