KUTOKA moyoni! Bila kumtaja mwanaume husika, mwigizaji wa kitambo Bongo,
Nuru Nassoro ‘Nora’amekiri kuwahi kuingia vitani na staa mwenzake,
Blandina Chagula ‘Johari’ kisa kikiwa ni kugombeapenzi la mwanaume mmoja
maarufu jijini Dar (jina ni siri yake).
Katika mahojiano maalum na gazeti hili, Nora alifunguka kuwa hali hiyo
ilitokana na maisha ya usichana yaliyochangiwa na umaarufu na umri.
“Huyo mwanaume alikuja kwa lengo la kunitaka lakini nikawa nahisi kama
Johari na baadhi ya rafiki zake walitaka kuninyang’anya, nikaamua kumvaa
Johari,” alisema Nora ambaye kwa muda mrefu alikuwa haivi na Johari.
Chanzo:GPL
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Monday, 19 October 2015
Post a Comment