Featured

Loading...


Kim Kardashian apendekeza mwanaye aitwe Easton, nibaada ya wengi kudhani ataitwa 'South'

MKE wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Kim Kardashian, amesema anapenda mtoto wake aje aitwe Easton tofauti na jina lingine.

Mtoto wake wa kwanza amepewa jina la North huku baba yake akiitwa West, hivyo watu wengi wakijiuliza jina la mtoto ajaye ataitwa nani kati ya East au South, lakini mam huyo amesema angependa mtoto huyo aitwe Easton.

“Ningependa mtoto huyo aje aitwe Easton, lakini sina uhakika kama mume wangu atakubaliana na mimi.

“Sina uhakika kama atakuwa na lengo la kutoa jina la mwelekeo kama ilivyo kwake West na mtoto akiitwa North, watu wengi wanadhani kuwa ataiwa South.

Hata hivyo, mama huyo amesema mpaka sasa bado yeye na mume wake hawajapanga jina la mtoto huyo ambaye wanamtarajia hivi karibuni.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top