Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video
zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya
udhoofu.
Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho
Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo
ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika
kwenye utayarishaji wake wawajibike.
Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa
na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali
yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana
kushindwa kuongea na kukohoa sana.
Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa
na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia
kwa kupunguza habari za mikutano yake.
Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa
kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha
udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.
Chanzo:
Jamii Forums
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
SIASA
on Saturday, 17 October 2015
Post a Comment