Mbunge
wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe na Capt. William Silaa (baba yake
Jerry Slaa), wamethibitika kupoteza maisha kwa ajali ya helkopta katika
eneo la Msolwa, hifadhi ya Selous.
Deo anakuwa mbunge wa sita kupoteza maisha katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu.
Jerry Slaa, ameandika ujumbe kwenye Instagram kuhusu msiba huo uliolifika taifa.
“Kwa
masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji
imefanikiwa kufika eneo la ajiali na kukuta abiria wote na rubani
wamepoteza maisha.
"Nimempoteza
Baba na rubani mzuri wa nchi yetu Capt.William Silaa,nimepoteza rafiki
na kiongozi wangu Mhe.Deo Filikunjombe. Nawapa pole wote waliopoteza
ndugu zao. Nawaombea marehemu mapumziko ya Amani.
"Nawashukuru wote walioshirikiana na familia kusaidia uokozi.
Namshukuru
Mhe.Rais Jakaya M Kikwete, Dr.John Pombe Magufuli, IGP Ernest Mangu,
Katibu Mkuu MU Dr.Meru, Kampuni ya Everest Aviation ,Wabunge, MaDC,
Maafisa wa TCAA na wote walioshiriki kuwatafuta wahanga wa tukio hili.
"Tutajuzana taarifa na mipango mingine.”
Naye
mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ambaye pia ni Naibu Waziri wa
Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, January Makamba ametweet
kuhusu taarifa hizo.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
TANZIA
on Friday, 16 October 2015
Post a Comment