
Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema
Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa imesheheni keki
alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha siku yake ya
kuzaliwa iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall, uliyopo
ndani ya jengo jipya la Millenium Tower.
Meneja
wa Wema (kushoto), Martin Kadinda, akimsaidia kukata moja ya keki
zilizokuwa zimeandaliwa muda mfupi kabla ya kuanza kuwalisha ndungu
jamaa na marafiki zake.
Nelly Kamwelu (kulia), akipiga picha ya pamoja na Wema.
Wema akimlisha keki mpenzi wake Luis Manana.
Wema akikisiana na mpenzi wake huyo baada ya kulishana keki.
Weama akiwa amekumbatiana na mpenzi wake.
Wema akiwa amekumbatiana na mama yake mzazi.
Steve Nyerere akiongea jambo mbele ya Wema wakati wa kulishana keki.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika pozi na Wema.
Wema akifutwa kitu kwenye kidevu chake na mpenzi wake.
Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba (katikati), akitumbuiza kwenye Birthday hiyo.
Wema akiserebuka na dada zake kwenye hafla hiyo.
Martin Kadinda (kulia), akimkabidhi ramani ya kiwanja Wema.
Wema akifurahia jambo wakati akionyesha zawadi ya gari lake jipya.
Badhi ya waalikwa wakishuhudia gari la Wema.
Muonekano wa ndani wa gari jipya la Wema.
Wema akiwa ndani ya gari yake mpya.
MKURUGENZI wa Endless Fame Wema Sepetu, usiku wa
kuamkia leo aliweza kufanya kufuru ya aina yake kwenye sherehe ya siku
ya kuzaliwa kwake iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall,
uliyopo ndani ya jengo jipya la Millenium Tower, Kijitonyama jijini Dar.
Katika Sherehe hiyo iliyohudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki zake
ilifana kwa kiasi kikumbwa, ambapo Wema alipewa zawadi mbalimbali huku
akionyesha zawadi yake ya gari jipya aina ya Range Rover la mwaka huu.
Mbali na gari pia usiku huo meneja wake Martin Kadinda aliweza
kuonyesha baadhi ya bidhaa zenye nembo za Wema Sepetu ambazo zitakuwa
zikiuzwa kwenye duka lake lililopo Mwenge TRA.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Monday, 2 November 2015
Post a Comment