Featured

Loading...


Picha: Boko Haram wamezindua kiwanda chao cha kuunda mabomu na silaha zingine kali

Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram wamezindua kiwanda wanachotumia kuunda mabomu na silaha zingine kali Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

Kupitia kwa mtandao wa WhatsApp picha hizo zilitumwa kwa idhaa ya Hausa ya BBC kupitia kwa namba iliyosajiliwa nchini Cameroon.

Picha hizo zinaonesha watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa kundi hilo wakiwa kwenye karakana fulani wakitengeneza silaha zenye uwezo wa kufanya uharibifu mkubwa.

Picha hizo zinaaminika kuwa zilipigwa katika jimbo la Borno nchini Nigeria. Wachunguzi wanasema kuwa picha hizo zinaonesha kuwa zilipigwa katika chuo cha kiufundi cha Bama (Government Technical College Bama (GTCB).

Haijabainika iwapo mashine hizo za chuo hicho anuai zilinaswa na maafisa wa jeshi la Nigeria au la. Hata hivyo Bama ni moja ya miji iliyokombolewa na jeshi la Nigeria.

Licha ya waasi hao kupigwa na kuondolewa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa Nigeria kundi hilo limeendelea kufanya mashambulizi ambayo yamewaacha wa Nigeria wengi wakishangaa wanakotoa silaha hizo kali.

Huu ndio ushahidi wa kwanza kuwa kundi hilo linauwezo wa kutengeneza silaha kali.





TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top