Featured

Loading...


Bomoabomoa kupingwa mahakamani leo, asema Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia

post-feature-image

Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia amesema leo anatarajia kwenda mahakamani kupinga ubomoaji nyumba katika Bonde la Msimbazi kwa madai kuwa Serikali haijatimiza ahadi ya kuwagawia wakazi wengi wa maeneo hayo viwanja Mabwepande.

Mtulia alitangaza dhamira yake hiyo jana alipowatembelea wakazi wa Mkwajuni waliokumbwa na bomoabomoa hiyo.
Akiwa katika eneo hilo, Mtulia alielezwa na Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Hananasif, Deogratius Mogela kwamba kati ya wakazi 375 wa mtaa huo ambao nyumba zao ziliwekewa alama kwa ajili ya kupewa viwanja, ni 21 tu ndiyo waliokabidhiwa.
“Wengine tuliambiwa tusubiri awamu nyingine, lakini tumeshangaa nyumba zetu zote zimebomolewa wakati ahadi bado haijatekelezwa,” alidai Mogela.
Akifafanua mbunge huyo, alisema anataka ubomoaji huo usimame mpaka ufumbuzi wa tatizo hilo la viwanja utakapopatikana.
“Manispaa ya Kinondoni na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi tukae pamoja tufanye tathmini ili walionufaika na viwanja vya Mabwepande wajulikane, inaonekana viwanja hivi vimekwenda kwa watu wasio walengwa,” alisema.
Mtulia alisema hatetei watu wanaoishi kwenye maeneo hatarishi, bali wanapaswa kupatiwa viwanja ndipo wahame. Bomoabomoa hiyo itaendelea tena leo katika eneo la Hananasif.
-Mwananchi

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top