Mwanamuziki wa kufoka wa kizazi kipya kutoka Marekani Nicki Minaj
aliwatumbuiza maelfu ya mashabiki katika mji mkuu wa Angola Luanda licha
ya shinikizo kutoka kwa wanaharakati wa kupigania haki za kibinadamu
asiandae tamasha hilo la kusherehekea msimu huu wa Krismasi.
Wanaharakati wa The Human Rights Foundation (HRF) walimuandikia barua
totoshoo huyo kutoka Marekani wakidai pesa alizolipwa zilitokana na
'faida ya upunjaji wa mali ya umma na ukiukaji mkubwa wa haki za
binadamu wanyonge nchini Angola''.
Minaj mwenye umri wa miaka 33 alipuzilia mbali kampeini hiyo na kuandaa shoo ya kukata na shoka Jumamosi usiku.
Shoo hiyo ya kufana iliandaliwa kwa hisani ya kampuni ya simu ya Unitel,
ambayo ni mali ya familia ya rais Jose Eduardo dos Santos.
Tangu kukamilika kwa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe 2002, taifa hilo
linalozalisha mafuta mengi zaidi barani Afrika limeshuhudia ukuaji
mkubwa wa uchumi kutokana na utajiri wake mkubwa wa madini na mafuta.
Wanaharakati wa The Human Rights Foundation (HRF) wanamtuhumu rais dos
Santos kwa kuwahujumu wenyeji kwa kujilimbikizia utajiri yeye na familia
yake.
Aidha HRF inasema kuwa Unitel ambayo inamilikiwa kwa kiwango kikubwa na
mwanawe rais huyo Isabel dos Santos inatokana na utajiri huo mkubwa usio
halali.
Isabel dos Santos anayedaiwa kuwa ndiye mwanamke tajiri zaidi barani
Afrika aliorodheshwa majuzi katika jedwali la 15 watu wanaoendeleza
ufisadi mkubwa zaidi duniani.
Kabla ya kushuka dimbani, Minaj alipiga picha akiwa amejifunika bendera
ya ya Angola na nyengine akiwa Isabel dos Santos . sikujua kuwa ndiye
mwanamke wa nane tajiri zaidi duniani.'' aliandika Minaj.
" Lol. Yikes!!!!! GIRL POWER!!!!!
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment