Msanii wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema hali yake ya
uchumi imekuwa mbaya zaidi hadi anashindwa kumudu baadhi ya gharama za
maisha yake.
Muimbaji huyo ambaye yupo kwenye tiba ya methadone katika hospitali ya
Mwananyamala kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya, amekiambia
kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Television Jumatatu hii kuwa,
anatamani sana kurudi kwenye muziki ili apate kipato chake lakini
anashindwa.
“Jamani kiukweli haya maisha ya wasanii nyie acheni tu, yaani inabidi
tumuombe tu mungu, mtu akikuona msanii kwenye daladala nani atanunua
albamu yako, nani atakuja kwenye show yako, lakini mama ananiambia vaa
ninja mwanangu nenda kapate tiba. Kwa sababu kila siku kukodi taxi ni
gharama sana, kutoa elfu 25000 kutoka Bunju mpaka hospitali kila siku ni
nyingi sana. Sometimes namwambia mama inabidi tutoke mapema saa 11 hivi
nivae ninja twende kwanza kanisani then naweza nikachukua hata bajaji
kwenda hospitali. Haya ni maisha sio kitu cha kucheka ni lazima nifanye
hivyo ili niweze kumaliza dozi,” alisema Ray C.
Pia Ray C ameomba wadau mwenye uwezo wamsaidie kupush muziki wake ili aweze kujisaidia mwenyewe.
“Hakuna masharti yoyote kwenye kunisaidia, mpaka mtu akitaka kuchangia,
sijui elfu 10000, 2000, jamani unaweza kunisaidia kwa namna yoyote,
kiukweli mimi nahitaji kurudi kwenye game na mtu ambaye alitaka
kunisaidia ameniacha,” alisema Ray C.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 23 February 2016
Post a Comment