Ewe mwanaume ukioa mwanamke:
Mrefu, jua kwamba utaoa mwanamke mpenda maendeleo, mchapa kazi na mkarimu ila hawajui mapenzi na ni wavivu kujiweka safi kimazingira.
Mfupi kiasi, jua ya kwamba utaoa mwanamke mchangamfu na mpenda elimu sana ila tu wanapenda mnongono na hawaridhiki.
Mfupi kabisa.Jua ya kwamba utaoa mwanamke msikivu na mcha Mungu ila ni waroho kwa kula na wabishi sana.
Ewe mwanamke ukiolewa na mwanaume:
Mrefu, jua ya kwamba utaolewa na mwanaume mwenye upendo, utu na ubinadamu ila ni wabahili mno na hawapendi kupendeza.
Mfupi kiasi, jua ya kwamba utaolewa na mwanaume mwenye fikra na
akili timamu za maendeleo, mbunifu, mcheshi na fundi wa mahaba ila ni
wapenda ushirikina sana, wana wivu na wambea sana na mara nyingi hupenda
kupiga chabo kwa watu wanaofanya mapenzi.
Mfupi kabisa, jua ya kwamba utaolewa na mwanaume mwaminifu,
msikivu, mnyenyekevu ila huwa wepesi wa kujiua, kukata tamaa upesi,
wanawivu sana na hawapendi kuoga.
Nawatakieni kila la kheri wale wenye wapenzi na ambao mnajiandaa kuoa au
kuoelewa ila zingatia sana tabia hizo hapo juu za huyo unayetegemea
kufunga nae pingu za maisha ili usije kutusumbua baadae. Chukueni
tahadhari!
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Tuesday, 23 February 2016
Post a Comment