Featured

Loading...


Audio: Diamond Platnumz asema ‘Target’ yake kwa mwaka huu ni kufanya ‘tour’ barani Africa

post-feature-image

Pamoja na kuwa tumekuwa tukimshuhudia Diamond Platnumz akitangaza kolabo na wasanii wa kutoka Marekani lakini hakuna hata moja tuliyoona hata cover yake,mwaka jana rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete alimuunganisha Diamond na meneja wa Trey Song na ikasema kuwa kuna kolabo itafuta hiyo ni mbali na Swizz Beats,Alicia Keys,Alaine,Kanye West na wengine,na hivi karibuni tumeona picha ya Diamond akiwa na Awilo Longomba inawezekana kuna kolabo itafuata,sasa isue hua inaishia kwenye kupiga picha peke yake au inakuaje? Kuna kitu ‘sometimes’ tunasema wanamuziki wenzangu wa Tanzania tusikimbilie katika soko ikiwa kuna soko ambalo hatujalimaliza kwahiyo napiga hapa katikati kolabo nyingi za Waafrika ili niishike Afrika na nijizatiti zaidi usisahau kama mimi sijaanza ‘tour’ yangu rasmi Afrika bado kwasababu nishaona wanigeria wakipiga ‘tour’zao Gabon na sehemu zingine ,na ndio ‘target’ yangu kwa mwaka huu’’ Alisema Diamond.

‘’Na sio kwamba nilikuwa sipati ‘tour’ lakini nilikuwa sitaki kufanya shoo kiudogo ya watu elfu kumi kwenye ‘viklabu’ unaenda Ghana unapiga shoo klabu ni kujidharirisha watu wanakuona unaenda huko wanategemea upige uwanjani’’ Aliongeza Diamond..

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top