Featured

Loading...


Khadija Kopa asema hawezi kutibiwa na mwanamke, Anataka madaktari wa kiume tu!

post-feature-image

Malkia wa mipasho nchini Khadija Kopa amefunguka sababu za yeye kuwapenda madaktari wa kiume kuliko wanawake na kusema kuwa mara nyingi wanawake wanakuwa hawawajali wanawake wenzao ukilinganisha na madaktari wanaume wanavyowapa huduma wanawake.

Khadija Kopa aliyasema hayo kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na ting'a namba moja kwa vijana EATV ambapo yeye amekiri wazi kuwa mpaka leo akienda hospitali hataki kutibiwa na manesi wala madaktari wa kike kutokana na ukweli kwamba wanwake wengi hawapendani.

"Unajua wanawake mara nyingi wananyodo hicho ndio kitu ambacho mimi mpaka leo napenda kutibiwa na madaktari wanaume, yaani mimi sindano nataka kuchomwa na mwanaume, hata kuzalishwa siku zote mimi nazalishwa na madaktari wa kiume sababu wanawake hatupendani" alisema Khadja Kopa.

Lakini mbali na hilo Malkia huyo wa mipasho aliwasii wanawake kupendana wao kwa wao ili waweze kupiga hatua mbele zaidi na kusema kitendo cha kutopendana kinawakwamisha kupiga hatua kimaendeleo na kujenga chuki kati yao.

"Unajua sisi wanawake hatupendani, mimi hapa ni mwanasiasa hivyo hata nikigombea nafasi fulani nitapata kura nyingi zaidi kutoka kwa wanaume na si wanawake, lakini ningependa leo niwaambie tu hata ukimkuta mwanamke wenzako anagombea nafasi fulani muoneshe support ya moja kwa moja, jamanii tunabidi tupendane" alisisitiza Khadja Kopa

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top